Breaking

Jua historia ya Wazanaki

Image result for kabila la wazanaki
Wazanaki ni kabila la watu kutoka eneo la kaskazini - magharibi mwa nchi ya tanzania jamii ya wakurya
Mwaka 1987 idadi ya Wazanaki ilikadiriwa kuwa 62,000  Lugha yao ni kizanaki
Hili ni kabila la Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliyezaliwa mwaka 1922 na alipata elimu ya kikoloni. Mkoa aliozaliwa Nyerere ni Mara,Kata ya Butiama.
Mwaka [1961] aliipatia Tanganyiak uhuru halafu mwaka 1964Tanganyika na Zanzibarziliungana kuunda Tanzania. Mwl. Julius Kambarage Nyerere alifariki mwaka 1999 na kifo chake kilihuzunisha watu wa taifa lote la Tanzania.
Vifaa alivyotumia katika kazi tofauti za utawala wake vilikuwa sehemu ya ukumbusho wa baba wa taifala Tanzania. Vifaa hivyo ni kama vile fimbo aliyokuwa akitembea nayo kila aendapo. kitu cha pili ni kiti alichopenda kukalia wakati wa kupumzika. Vitu hivyo vipo katika eneo aliloishi na vinawavutia watalii kwa kiasi kikubwa na kuongeza uchumi wa nchi.
kaburi lake lipo karibu na nyumbanikwake

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.