Shule kumi bora kitaifa katika matokeo ya kidato cha nne 2018
Leo Baraza la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne kwenye mtihani ambao ulifanyika October 2017 ambapo Shule ya iliyoshika namba moja inatoka Mbeya.
TOP 10 YA SHULE BORA.
10. Shamsiye Boys ya Dar es salaam
9. Marian Boys ya Pwani
8. Feza Girls ya Dar es salaam
7. Canossa ya Dar es salaam
6. Marian Girls Pwani
5. Anwarite Girls ya Kilimanjaro
4. Bethel Sabs Girls ya Iringa
3. Kemebos ya Kagera
2. Feza Boys ya Dar es salaam
- St. Francis Girls ya Mbeya
TOP 10 YA SHULE ZA MWISHO KITAIFA
10. Mtule ya Kusini Unguja
9. Nyeburu ya Dar es salaam
8. Chokocho ya Kusini Pemba
7. Kabugaro ya Kagera
6. Mbesa ya Ruvuma
5. Furaha ya Dar es salaam
4. Langoni ya Mjini Magharibi
3. Mwenge S.M.Z ya Mjini Magharibi
2. Pwani Mchangani ya Kaskazini Unguja
- Kusini ya Kusini Unguja
Hakuna maoni: