Breaking

Lyrics Bebi Bebi Nyashinski

Image result for bebi bebi
song; bebi bebi
artist; nyashinski.


some say a fool never change his mind well maybe. baby am fool for you mapenzi kipofu kipenda maovu. huoni ooh love is blind never seem so true when am broke natumianga bro please call me akipiga naomba dooh... mbona kuna message inajitumanga send me money tukate long story short yoyooo vumilia na mm please don't leave me. don't let money fool you. sponsors just wanna use you... namwambia mtoto wa mama hasiharibikeee ananishoo ni biasharaa tuu na siwezi mshibishaa na pangangaa tuuu na mwezi ukiisha Sina ujanja too Na renti ikibishwa huanga blunder to. Bebi Bebi Bebi Kwani me wakati Sina. Leo Sina kitu kesho ntafanikiwa Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitasahau pahali nimetoka na weh Bebi me wakati Sina. Leo Sina kesho ntafanikiwa too Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitahau nilipotoka na weh You're my only one Girl I wanna, girl I wanna take you to my mama show her you're the one for me I'll never ever leave you believe me when I say ull forever be my queen Yule nalala naye kwa dhiki ntalala naye Kwanzaa faraja Ahadi yangu ndo hiyo Kama pamoja tumelia, tutacheka pamojaa Wou vumilia na mimi please don't leave me Don't let the money fool you Sponsors just wanna use you Mtoto wa mama usiharibike. Bebi Beb

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.