Nandy ahuzunisha katika msiba wa Ruge..ASHINDWA KUJIZUIA
Msanii Nandy ameshindwa kuimba cover ya wimbo wa muimbaji wa muziki Injilj, Angel Bernald uliokuwa ukipendwa na Ruge Mutahaba.
Nandy alifanya Rimix hiyo ya "Nikumbushe Wema Wako" wenye maneno yanayogusa, yakisisitiza wema wa Mungu wakati wa magumu.
Wimbo huo ulikuwa kati ya nyimbo bora sana kwa marehemu Ruge na akiwa hospitali ulipigwa mara nyingi sana kumfariji.
Hakuna maoni: