Breaking

Hata ‘kicheche’ huwa anaolewa,

Image result for shilole
MSANII wa muziki , Zuwena Mohammed maarufu kwa jina la Shilole ametoa kauli ngumu wakati wa sherehe yake iliyofanyika usiku wa kuamkia jana Jumatatu, akisema watu wengi walikuwa wakidhani kwamba hamaanishi kuhusu kufunga ndoa na mpenzi wake Uchebe na kuwataka sasa waamini uamuzi wake huo.

“Namshukuru Mungu nimepata mume anayeijua dini, amenifichia aibu yangu. Watu wasidhani kila jambo ni utani, mimi nilikuwa namaanisha. Sasa waelewe kwamba hata ‘kicheche’ huwa anaolewa, wasichukulie maisha yangu niliyokuwa ninaishi, kwa sasa nimepata mume na ninampenda sana,” alisema Shilole. 

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.