Breaking

Fahamu zaidi kuhusu mchaichai


Image result for mchaichai
Ni zao linalokubali kwenye ardhi ya kichanga na huchukua takribani miezi minne hadi kuvuna kwake.

Matumizi yake:
1. Hutumika kama kiungo kwenye chai
2. Hutumika kutengenezea sabuni
3. Hutumika kutengenezea dawa za malaria
4. Hutumika kutengenezea dawa za U.T.I
5. Hutumika kutengenezea dawa za msongo wa mawazo
6. Hutumika kutengenezea manukato (perfumes)
7. Hutumika kutengenezea Airfreshner kwa ajili ya matumizi ya salon, kwenye ndege, mabasi n.k
  


TOA MAONI YAKO KUPITIA 0746487990

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.