Tcra yashusha gharama za kupiga simu
Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) yashusha gharama za kupiga simu kutoka Sh. 26.96 kwa dakika moja hadi Sh.15.60 kuanzia 2018.
Mkurugenzi wa TCRA, Mhandisi James Kilaba amesema gharama hizo zitaendea kupungua kila mwaka hadi kufikia Sh. 2 mwaka 2022.
Kilaba ameeleza kushuka kwa gharama kutachochea idadi ya watu wanaotumia mawasiliano ya simu na kuongeza pato la watoa huduma na taifa kwa ujumla
Hakuna maoni: