Breaking

STAR TIMES Yapigwa Faini Mil.100 Kwa Kutoza Gharama Kwenye Chanel za Ndani


Kampuni ya Star Media imetozwa faini ya Sh. Milioni 100 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kuwatoza fedha watazamaji wa vituo vya televisheni vinavyotakiwa kuonekana bila kulipiwa kupitia king’amuzi cha Star Times.
-
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, James Kilaba amesema kitendo hicho ni kinyume na kanuni ya 14(2) (a) ya kanuni za Digital and Broadcasting Networks za mwaka 2011.
-
Vituo vinavyotakiwa kuonekana bila kulipiwa ni TBC1, ITV, EATV, Channel Ten, Star TV na Clouds TV. 

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.