KUJIFAHAMU NI HEKIMA
"Ukinikuta mtaani nna Degree yangu hali mbaya na sina ajira, ukaniajiri kwny duka lako kwa mashahara wa laki 2, baada ya muda flani nikafanikiwa kupata kazi ya level yangu na kulipwa milioni moja haimaanisha kuwa yule aliyekuwa ananilipa laki 2 alikuwa ananinyonya."
Hakuna maoni: